Kasino za Kiswahili Mtandaoni – Watu wengi nchini Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na nchi zaidi barani Afrika wanazungumza lugha ya Kiswahili. Wanapotaka kuweka dau kupitia simu au kucheza kamari mtandaoni huwa wanatafuta Kasino Mtandaoni kwa Kiswahili. Kasinozakiswahili.com hutoa taarifa bora zaidi bila malipo kuhusu kasino za mtandaoni kwa watu wanaozungumza Kiswahili duniani
Pata msisimko unaotokana na uchezaji kupitia Mozzartbet Casino Kenya. – Unaweza kuelezea kasino hii ya mtandaoni kwa maneno matatu – kisasa, changamfu na ya kusisimua. Mbona niseme hivi?! Kwa sababu wanapakia mkusanyiko mkubwa wa michezo bora ya kasino. Ikiwa ni pamoja na ofa tamu za bonasi zitakazokupa furaha kubwa. Angalia watoa huduma za mchezo: Playtech, SkillOnNet , WMS, Amaya, NextGen Gaming na Evolution Gaming... si basi utakuwa na fursa ya kupata bahati Kubwa?! Mozzartbet Casino inapendwa na watu kutoka kote ulimwenguni. Hakikisha kuwa sehemu yake leo na uanze kufurahia ongezeko la pesa!
- cheza kasino ya papo hapo kwa mbofyo mmoja (michezo yote!)
- uteuzi halisi wa kipekee wa michezo ya kasino
- vigumu kupata michezo ya meza
- usaidizi wa kirafiki kwa wateja na timu ya nzuri ya ukuzaji.
Kufungua akaunti ni bure na unastahiki hadi bonasi ya $500 !
Kasino yetu nambari 2 mtandaoni kwenye kasino za Kiswahili ni Royal Panda. Unapoendelea na mchezo, wanakupea nafasi nyingi kwa sababu wanaandaa michezo mizuri inayokuza msisimko na nguvu zako. Iwe unacheza mtandaoni au kupitia simu yako ya mkononi kasino hii ni mojawapo ya maeneo bora na ya kutegemewa zaidi kwenye wavuti. Furahia zaidi ya michezo 400.
- bora kwa michezo ya mezani ya moja kwa moja na michezo ya vitobo ya mandhari za Kiafrika
- malipo ya haraka (na chaguo nyingi za kuweka za amana)
- huduma bora ya usaidizi pia kupitia simu
- ofa nzuri zinazotolewa kila wiki
Kufungua akaunti ni bure na unastahiki bonasi ya 1000$ - 150FREESPINS!
Kasino ya kwanza kwenye kasino za Kiswahili ni 22BET. Kasino ambayo huenda inaongoza ulimwenguni pia. Kasino ya 22BET ina kila sifa za kushikilia nafasi za kwanza za michezo ya kasino. Ni chaguo rahisi kutoka na sifa thabiti na msingi wa desturi nzuri za biashara. Wanafahamu mahitaji ya wachezaji ili wajisikie huru kucheza mtandaoni. Michezo yao ambayo imeshinda tuzo nyingi inayotolewa na waendeshaji kadhaa maarufu duniani.
Programu inapatikana katika matoleo mawili. Mchezo wa kucheza moja kwa moja (HTML5) na kama kifurushi kinachoweza kupakuliwa. Matoleo haya mawili ni salama 100% na ni rahisi kusakinisha.
- Michezo maarufu ya vitobo: Beo Wulf, Hot Safari, 888Gold & Wild Monkey.
- Live Casino ambayo ni maarufu duniani
- Huduma ya msaada wa kitaalamu inayopatikana 24/7
- Unaweza kutarajia ofa za kila siku
Kufungua akaunti ni bure. Unastahiki hadi bonasi ya $300 kwenye amana yako ya kwanza!
Kuhusu Kasino za lugha ya Kiswahili
Je, unatafuta kasino halisi katika eneo lako? Tunakuomba uzingatie kurasa zetu maalum kwa nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Mozambique na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Democratic Republic of Congo
Kuhusu Kasino za Mtandaoni
Kutokana na uvumbuzi wa haraka wa siku hizi kuna maelfu ya kasino za mtandaoni. Na zimeenea kote wavutini. Lakini si zote zinazolenga nchi za Afrika (au kupatikana kwa lugha ya Kiswahili). Waendeshaji michezo, watoa huduma za malipo, mawakala wa usaidizi, hizi ni taaluma zinazohitajika ikiwa Waafrika wa asili na wazungumzaji wa Kiswahili watanawiri. Si kazi rahisi… na kwa hivyo tumetengeneza kasinozakiswahili.com, mwongozo wako katika ulimwengu wa kasino ya mtandaoni.
Kuhusu Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
Aina mbalimbali za michezo ya kasino ni za kushangaza. Hivi sasa nyingi zake zimeundwa kwa kutumia lugha ya programu ya HTML5 ili kuendana na kompyuta za mezani. Ingawa kompyuta kibao na simu za mkononi zinatumika zaidi sokoni na wachezaji wanazitumia zaidi kucheza michezo yao.
90% ya michezo yote ya kasino inaweza kufikiwa ukitumia akaunti yako halisi ya kasino kwa hivyo huhitaji kufungua akaunti nyingi. Unaweza kuzifikia ukitumia vifaa au michezo tofauti. Mifumo yote ya uendeshaji ya Android na IOS inafaa kwa kucheza michezo.
Hata hivyo baadhi ya kasino bado hutumia programu zinazoweza kupakuliwa. Lakini usiwe na wasiwasi, michezo hii haina virusi vyovyote vya kompyuta kwa 100% na husakinishwa kwa usalama ndani ya dakika chache. (Kulingana na kasi ya mtandao wako wa intaneti)
Ingawa michezo yote hucheza vizuri hata ukitumia watoa huduma tofauti, inashauriwa uwe na muunganisho wa kasi ya juu wa intaneti. Hasa kwa michezo ya moja kwa moja ya kasino kama vile Roulette na Blackjack ya moja kwa moja. Kwa hivyo kwa ujumla vitobo na michezo ya programu hufanya vizuri kwenye vifurushi vya intaneti vinavyopatikana kwa kawaida barani Afrika
Kuhusu Kuhisi kuwa na Bahati
Kuhisi kuwa na Bahati ni mtindo wa maisha. Sisi sote hukumbana na siku mbaya. Ingawa wengine kwa muda mfupi na wengine kwa muda unaonekana kuwa usio na kikomo. Jipe moyo! Siku moja utakuwa na bahati nzuri pia. Kama Wagiriki wanavyosema, Bi. Bahati atakuwa pamoja nawe kwa muda mrefu. Utakuwa na bahati kwa maisha yako yote. Kwa hivyo tabasamu, jikaze na unyakue fursa hii ya kubadilisha maisha yako. Kwa hivyo kama unahitaji kasino za Kiswahili, basi una bahati, umeangukia bahati! Leo ndio siku yako,.. PATA BAHATI!
- Wastani wa kurudi kwa mchezaji 96.60%
- Wastani wa kurudi kwa mchezaji 98.43%
- Wastani wa kurudi kwa mchezaji 95.92%
- Wastani wa kurudi kwa mchezaji 95.92%
MICHEZO YA KASINO ZA KISWAHILI
Je, unajua kwamba kuna michezo mingi sana ya kasino ambayo kama ilivyo na kasino za Kiswahili ilianzia Afrika? Hebu tusisahau kuwa bara letu ni miongoni mwa bara tajiri zaidi duniani.
Kwa mfano: Maliasili, wanyamapori, utamaduni na historia! Afrika ni kiini cha mambo mengi. Haishangazi kuona watoa huduma wengi wa programu wanaunda michezo inayorejelea jadi na sasa. Tunapaswa kujivunia hilo!
Michezo maarufu ya vitobo yenye mandhari za Kiafrika:
- Mega Moolah
- Super Safari
- Pure Platinum
- Big Kahuna
Kama unaweza kuona kuna michezo mingi maarufu ya kucheza inayokufanya ujisikie nyumbani. Lakini pia unaweza kugundua mabara mengine pia! Kuna zaidi ya michezo 3000 ya vitobo vya kasino yenye mada katika soko, kwa hivyo anza kuiigundua leo.
Maelezo zaidi katika sehemu zetu za michezo na kasino za mtandaoni
Kucheza michezo ya kasino mtandaoni inafurahisha, hasa unapoweza kucheza katika lugha yako ya Kiswahili! Kwa bahati mbaya baadhi ya michezo inaweza kuwa gumu kucheza ikiwa hujui kanuni za mchezo. Lakini usife moyo kwani kuna usaidizi wa mtandaoni, kanuni za mchezo zipo ili kusaidia.
Kwa hivyo karibu kila mchezo wa kasino wa mtandaoni unaotolewa na kasino zilizoidhinishwa una kitufe kidogo cha usaidizi katika moja ya pembe za mchezo. Kawaida hii ni ishara iliyowekwa na alama ya swali au aikoni ya kijitabu kidogo. Ukibofya juu yake madirisha mapya hufunguka na kuonyesha maelezo yote kuhusu mchezo. Hatua kwa hatua unaweza kujifunza kanuni zote za michezo mahususi ambao haujacheza hapo awali.
Watu wengi hawajui kuwa kasino kwenye intaneti hazimiliki michezo zinazotoa. Zinatia saini mkataba na watoa programu maalum ambao ni waundaji pekee wa mchezo. Waundaji hawa wanakodisha mchezo yao kwa wateja kote ulimwenguni. Kwa hivyo kama tovuti ya kasino unaweza kuchagua michezo yote au baadhi yake.
Sehemu ya kufurahisha ya uundaji huu wa programu za mchezo ni ukweli kwamba wasanidi wa mchezo pia wanawajibikia lugha tofauti ambazo vifurushi vya mchezo hutoa. Na hii husababisha watoa huduma za programu za mchezo kuboreka katika uchambuzi (kuchambua matokeo ya injini ya mchezo) na usanifu na pia kukusanya timu kubwa ya watafsiri ili kutafsiri skrini zote za mchezo na maudhui katika lugha nyingi. Tunatarajiwa kuwa idadi ya kasino za Kiswahili itaongezeka hivi karibuni.
Kushinda pesa hufurahisha siku zote… hadi wakati mkusanya kodi atakapowasiliana nawe kuhusu ulipaji. Kila nchi ina utaratibu wake wa kodi na kwa hivyo hatuwezi kueleza kwa kina maelezo yote kuhusu kodi ya michezo. Kwa hivyo, sheria kuu hapa ni kwamba wewe au kasino ya mtandaoni lazima mlipe kodi kwa ushindi. Nchi zingine hazitozi kodi kwa ushindi wa kasino za mtandaoni lakini ni bora kujua sheria kulika kujipata umezikiuka.
Kumbuka kwamba kwa kawaida serikali au mamlaka ya michezo ya kubahatisha hutoa taarifa kuhusu kodi kwenye tovuti zao. Ikiwa una shaka yoyote hakikisha utafuta kwenye Google “gaming tax in (weka nchi yako )” na bila shaka tovuti ya mamlaka ya kodi ya eneo lako itatokea katika matokeo ya kwanza.
Bila kukupotosha, mamlaka hizi huwa hazina ubaya na wewe! Mamlaka za michezo ya kubahatisha ndizo taasisi zinazolinda mazingira wazi na inayotegemewa ya kasino za mtandaoni na michezo ya kubahatisha. Wanatoa leseni (na kuzibatilisha inapohitajika) na kusaidia kuondoa tovuti zisizo halali za kasino kutoka wavutini. Unapocheza mtandaoni hakikisha kuwa umechagua kasino ambayo ina leseni halali kutoka kwa mamlaka inayotambulika ya michezo ya kubahatisha.
Huko Afrcia kuna mamlaka nyingi bora zenye nia nzuri lakini ukweli pia ni kwamba baadhi ya “mamlaka” zingine bado hazizingatii “uaminifu, utegemevu na utumainifu”.
Jinsi ya kucheza katika kasino za mtandaoni – Maelezo kuhusu mbinu zote za kuweka amana
Mifano michache ya mbinu za malipo za kimataifa za kasino za mtandaoni
Unapocheza mtandaoni, tuseme katika Kasino za Kiswahili, hakuna msisimko wa kucheza michezo katika hali ya kujifurahisha. Kushinda jakpoti kunaweza kusababisha kufadhaika na tamaa kubwa. Kwanini ni hivyo?!
Unaweza tu kushinda pesa halisi ikiwa umewekeza pesa halisi kwenye akaunti yako ya wachezaji wa kasino. Ushindi wote katika hali ya kujifurahisha ni ushindi ghushi ambao huwezi kutoa pesa zake. Kwa hivyo unahitaji kuweka pesa zako kwenye kasino ya mtandaoni. Kwa njia hiyo unaweza kucheza michezo ya pesa halisi na kuwa na nafasi ya kushinda pesa taslimu.
Kwa kawaida huwa unalipa pesa unaponunua bidhaa au mikopo lakini uhamishaji wa pesa hufanya kazi vipi mtandaoni? Hapo chini tutafichua njia za malipo za mtandaoni zinazokubalika zaidi na zinazokubalika kwa kasino ulimwenguni kote.
- Kadi za Mkopo – njia inayotumika zaidi kulipa mtandaoni na kuongeza fedha kwenye akaunti yako ya kasino ya mtandaoni
- Pochi za mtandaoni au Ewallets – Mojawapo wa njia ambayo imekua kwa kasi zaidi katika mwongo mmoja uliopita kwa ununuzi kwenye intaneti
- Kadi zilizolipiwa mapema – zinapatikana duniani kote, zinatumiwa mara kwa mara kama njia ya malipo isiyomtambulisha mtumiaji
- Uhamisho wa pesa – Western Union ndio mtandao mkubwa zaidi ulimwenguni unaoshughulikia mashirika 500,000 (20,000 barani Afrika)
M-Pesa kutoka Safaricom ndiyo jukwaa kuu la malipo ya simu ya mkononi. Pamoja na Jambopay , Pesapal na Pokopoko zinatumiwa kila siku na mamilioni ya Wakenya. Kwa hivyo zaidi ya 98.5% ya miamala na simu ni kupitia M- Pesa. Kwa sababu ya kiasi cha juu zaidi cha ununuzi wa sasa, ni KSh 70,000, wachezaji wa pesa nyingi hawawezi kuweka dau kubwa. Watoa huduma wengi wa malipo hawana uwezo wa kubadilisha kiasi hiki kwa sababu kimewekwa na Benki Kuu ya Kenya. Haya ni matokeo ya kanuni new AML regulations.
Inatekelezwa ili kupunguza wizi wa pesa kupitia malipo ya simu.
Miamala ya pesa kwa simu* ni ya kawaida nchini Kenya na kasino nyingi zinaikubali polepole. Hakuna kadi nyingi za mkopo nchini lakini idadi inakua kwa kasi zaidi. Kadi ya mkopo ni mojawapo ya mbinu za malipo zinazokubalika zaidi katika kasino za mtandaoni. Ukiweza kupata moja utafaidika nayo sana.
*Dokezo dogo tu, kasino za mtandaoni hazitoi mkopo mapema.
Ikiwa na zaidi ya maeneo 1,500 ya kulipia (PoS) na Mawakala 2,000 wa FahariHuduma kote Tanzania, CRDB inatoa huduma mpya. Vifaa vya PoS vinawezesha kulipia na kuhamisha pesa. Tunatumai kuwa TemboCard itakubaliwa hivi karibuni kwenye kasino za mtandaoni pia.
Kando na TemboCard, hivi karibuni benki ilizindua huduma maalum kwa wateja iitwayo Premier Club. “watakaojiandikisha katika kituo hicho watapokea kadi maalum ziitwazo Tembo Card Visa Infinite...” kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dkt. Charles Kimei
Chagua kadi yako mwenyewe ili kufanya malipo salama mtandaoni hapa:: CRDB cards
- Yo Uganda
Mtoa huduma wa zamani wa huduma za simu za mkononi sasa anaangazia malipo ya mtandaoni na ya simu. - Beyonic
Ingawa ililenga zaidi miamala ya biashara kwa biashara (B2B) hapo mwanzo, Beyonic sasa inapatikana kwa wingi nchini Uganda kwa watumiaji pia. - Useremit
Huduma thabiti ya uhamishaji wa pesa mtandaoni. Sasa inapatikana pia kwa uhamishaji kati ya Uganda, Rwanda na Kenya. - Payway
Huduma hii ilipelekea malipo ya bili za matumizi kuwa salama, haraka na rahisi sana katika Uganda. Ndio sababu haikuchukua muda kabla ya kuanza kutoa chaguo zaidi za malipo.. - Jpesa
Huduma hii hukubali uhamishaji wa pesa kati ya nchi nyingi za Afrika Mashariki. Jpesa ni njia salama ya malipo ya simu na kielektroniki na inafanya kazi sawa na Jambopay ambayo ni maarufu ya Kenya.
Nchini Rwanda, malipo ya mtandaoni (na malipo ya simu) yanaweza kuchakatwa kupitia Watoa Huduma mbalimbali za Malipo. DirectPay inafanya kazi na Tigo, Pesa, Airtel na MTN. Wanachakata Kadi zote kuu za Mkopo na pochi za kieletroniki.
Mnamo tarehe 28 Septemba 2016, Mastercard, Benki ya Kigali na RwandaOnline kwa pamoja zimezindua suluhisho jipya la malipo ya mtandaoni nchini Rwanda. Mastercard Payment Gateway Services ndiye aliyebuni mbinu hii mpya. Mbinu yenyewe itaweza kutoa malipo ya haraka katika nchi nzima ya Rwanda. Malipo ya mtandaoni yamekuwa salama zaidi na rahisi kutumia kwa kila mtu.
Nchini Burundi kuchukua pesa kupitia WorldRemit ni jambo la kawaida hata hivyo hii haitumiki kwa malipo ya kasino. Kasino za mtandaoni hazikubali uhamishaji wa pesa taslimu. EcoCash ni njia mbadala nzuri ya kununua mikopo kupitia simu yako ya mkononi.
Payza na Kadi za mkopo zinapatikana pia lakini kwa hakika kadi za mkopo hazitumiwi sana nchini Burundi. Visa na Mastercard zinakubaliwa.
Kwa ufunguzi mkubwa wa kwanza wa biashara ya mtandaoni nchini Msumbiji (Compra), sasa kulipia mtandaoni imekuwa rahisi nchini Msumbiji. Kwa hivyo watoa huduma za malipo (PSP) kama Credelec , MPESA na MKesh wanazidi kupata umaarufu. Lakini Watoa Huduma za Simu wanatumika kama wapatanishi wa malipo wa mtandaoni huku LAM ikiwa ndio kampuni kuu.
BIM IZI na Kadi za Mkopo zinaweza kutumika mtandaoni pia unapotaka kununua mikopo au bidhaa kupitia intaneti. Suluhisho hili la malipo linatumika sana nchini na kwa hivyo watoa huduma zaidi na zaidi wa kasino za mtandaoni wanakubali uhamishaji unaofanywa na IZI.
Pesa mtandaoni huchakatwa kupitia CongoPay na wachakataji wengine wachache wa kadi za mkopo. Unaweza kutumia simu yako ya mkononi kuhamisha pesa au kununua kadi za kulipia mapema kwa kutumia msimbo maalum. Ingawa Kadi za Mkopo zinakubaliwa mtandaoni bado hazitumiki sana nchini Kongo (DRC).
Maoni yako
Hapa katika Kasino za Kiswahili huwa tunafurahi kusikia maoni kutoka kwa wasomaji wetu. Kwa hivyo usisite na jisikie huru kutupa maoni kupitia fomu yetu ya mawasiliano.
Huenda ikawa ni kidokezo, baadhi ya mapendekezo, maelezo ya ziada au hata malalamiko, hatupuuzi maoni yako.
Tusaidie kukuza familia ya kasino za Kiswahili na kutujulisha maelezo yote unayoweza kutupa ili kutumakinisha na kuboresha tovuti hii.
Wasiliana na ushiriki uzoefu wako wa kucheza na jumuiya ya Wazungumzaji wa Kiswahili
Rasilimali za ziada za kasino
Worldcasinodirectory.com
Ikiwa unafuta mahali pa kucheza kamari nchini Msumbiji, watakusaidia! Je, unazuru Kenya na unatafuta kuburudika kwenye meza za michezo? Hili ni suluhisho bora kutokana na ukubwa wake. Maeneo yote bora zaidi yanaonekana ndani ya mibofyo mitatu. Bila hata kutaja hata kasino za Kiswahili…
tembelea tovuti >> worldcasinodirectory.com
Casinocity.com
tembelea tovuti >>> www.casinocity.com
Dmoz.org
tembelea tovuti >>> www.dmoz.org
Nyenzo za ziada za Kiswahili
BBC.com (in Swahili)
tembelea tovuti >> bbc.com
Ethnologue.com
Wikitravel.org
Wikitravel.org – unapanga safari ya kutembelea mojawapo ya nchi nyingi ambako watu huzungumza Kiswahili? Basi unapaswa kutembelea ukurasa maalum wa Kiswahili wa Wikitravel. Utajifunza maneno na vifungu vya maneno ambavyo unaweza kutumia kwenye safari yako. Usisahau kualamisha ukurasa kwenye simu yako kwa ufikiaji rahisi wakati wa usafiri. tembelea tovuti >>> www.wikitravel.org
Rasilimali za michezo rahisi
King.com
sajili akaunti ya bila malipo >>> HERE
Addictinggames.com
tembelea tovuti >> addictinggames.com
Pogo.com
Kasino maalum za mtandaoni kwa Kiswahili
Swahilicasinos.com ni toleo la Kiingereza la Kasinozakiswahili.com ambayo imeandikwa kwa Kiswahili kabisa. Kwa hivyo tunajivunia kuwa tovuti pekee inayojitolea kwa Waswahili na lugha yao wenyewe. Kwa hivyo tutajitahidi kuanzisha jumuiya nzuri na inapowezekana kushawishi kasino za mtandaoni kutafsiri tovuti na michezo yao katika Kiswahili.
Iwe unatembelea tovuti yetu kutoka Tanzania, Rwanda, Kenya au nchi nyingine yoyote ambayo watu wanazungumza Kiswahili kumbuka sisi sote tumeunganishwa na intaneti. Ndani ya mibofyo michache tunaweza kuzuru ulimwenguni wote. Na hivyo kuwa sehemu ya jumuiya ya kimataifa inayopenda kucheza michezo ya kasino.
Michezo haizuiliwi na mipaka ya nchi na inapatikana kila mahali ambapo intaneti ipo. Kwa hivyo tunaweza kufurahia faida za enzi hii. Lakini muhimu zaidi, bahati nzuri iwe nawe kwenye Kasino za Kiswahili!