Kasino za Kiswahili Mtandaoni – Watu wengi nchini Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na nchi zaidi barani Afrika wanazungumza lugha ya Kiswahili. Wanapotaka kuweka dau kupitia simu au kucheza kamari mtandaoni huwa wanatafuta Kasino Mtandaoni kwa Kiswahili. Kasinozakiswahili.com hutoa taarifa bora zaidi bila malipo kuhusu kasino za mtandaoni kwa watu wanaozungumza Kiswahili duniani

mozzartbet kiswahili casino

Pata msisimko unaotokana na uchezaji kupitia Mozzartbet Casino – Unaweza kuelezea kasino hii ya mtandaoni kwa maneno matatu – kisasa, changamfu na ya kusisimua. Mbona niseme hivi?! Kwa sababu wanapakia mkusanyiko mkubwa wa michezo bora ya kasino. Ikiwa ni pamoja na ofa tamu za bonasi zitakazokupa furaha kubwa. Angalia watoa huduma za mchezo: Playtech, SkillOnNet , WMS, Amaya, NextGen Gaming na Evolution Gaming... si basi utakuwa na fursa ya kupata bahati Kubwa?! Mozzartbet Casino inapendwa na watu kutoka kote ulimwenguni. Hakikisha kuwa sehemu yake leo na uanze kufurahia ongezeko la pesa!

  • cheza kasino ya papo hapo kwa mbofyo mmoja (michezo yote!)
  • uteuzi halisi wa kipekee wa michezo ya kasino
  • vigumu kupata michezo ya meza
  • usaidizi wa kirafiki kwa wateja na timu ya nzuri ya ukuzaji.

Kufungua akaunti ni bure na unastahiki hadi bonasi ya $500 !

visit btn

Paripesa logo min

Kasino yetu nambari 2 mtandaoni kwenye kasino za Kiswahili ni Royal Panda. Unapoendelea na mchezo, wanakupea nafasi nyingi kwa sababu wanaandaa michezo mizuri inayokuza msisimko na nguvu zako. Iwe unacheza mtandaoni au kupitia simu yako ya mkononi kasino hii ni mojawapo ya maeneo bora na ya kutegemewa zaidi kwenye wavuti. Furahia zaidi ya michezo 400.

  • bora kwa michezo ya mezani ya moja kwa moja na michezo ya vitobo ya mandhari za Kiafrika
  • malipo ya haraka (na chaguo nyingi za kuweka za amana)
  • huduma bora ya usaidizi pia kupitia simu
  • ofa nzuri zinazotolewa kila wiki

Kufungua akaunti ni bure na unastahiki bonasi ya 1000$ - 150FREESPINS!

play-swahili-casinos

22bet swahili casino

Kasino ya kwanza kwenye kasino za Kiswahili ni 22BET. Kasino ambayo huenda inaongoza ulimwenguni pia. Kasino ya 22BET ina kila sifa za kushikilia nafasi za kwanza za michezo ya kasino. Ni chaguo rahisi kutoka na sifa thabiti na msingi wa desturi nzuri za biashara. Wanafahamu mahitaji ya wachezaji ili wajisikie huru kucheza mtandaoni. Michezo yao ambayo imeshinda tuzo nyingi inayotolewa na waendeshaji kadhaa maarufu duniani.

Programu inapatikana katika matoleo mawili. Mchezo wa kucheza moja kwa moja (HTML5) na kama kifurushi kinachoweza kupakuliwa. Matoleo haya mawili ni salama 100% na ni rahisi kusakinisha.

  • Michezo maarufu ya vitobo: Beo Wulf, Hot Safari, 888Gold & Wild Monkey.
  • Live Casino ambayo ni maarufu duniani
  • Huduma ya msaada wa kitaalamu inayopatikana 24/7
  • Unaweza kutarajia ofa za kila siku

Kufungua akaunti ni bure. Unastahiki hadi bonasi ya $300 kwenye amana yako ya kwanza!

play-swahili-casinos

Matukio ya Kamari Mtandaoni Kenya

Utangulizi Kamari mtandaoni imekua kwa kasi sana katika Kenya katika miaka ya hivi karibuni....

Kasino nchini Kenya kwenye Majumbo ya Likizo ya Hoteli

Majumba ya Likizo ya Kasino nchini Kenya - Kando na njia za kusisimua katika nyika ya Kenya, nchi...

Kenya imepata milionea mwingine

Kenya imepata milionea mwingine - mmiliki wa klabu ya eneo kutoka Laikipia aliyepata zawadi ya...
mozzartbet casino
Kuhusu Kasino za lugha ya Kiswahili
kasinozakiswahili.com ina taarifa za kuaminika zaidi kuhusu michezo, kasino halisi na kasino za mtandaoni za lugha ya Kiswahili. Imejitolea kwa Afrika na wakazi wake wazuri. Michezo yenye kiini cha makabila yenye fahari, wanyama pori na hazina za kiajabu ambazo zinaweza kupatikana katika nchi nyingi za Afrika. Zote zinapatikana kwa wingi na tumekupangia zote. Hii inatufanya tuongoze kama chanzo chako kuu cha nyenzo za kucheza michezo!
Je, unatafuta kasino halisi katika eneo lako? Tunakuomba uzingatie kurasa zetu maalum kwa nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Mozambique na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Democratic Republic of Congo

 

Kuhusu Kasino za Mtandaoni
Zilianza mnamo mwaka wa 1996. Tayari Intaneti ilikuwa ikitumika kwa miongo michache kabla lakini hakuna mtu aliyefikiria kubuni kasino za mtandaoni. Mpaka intercasino ilipoibuka. Mojawapo ya kasino za kwanza (kama si ya kwanza kabisa ) mtandaoni kwenye wavuti. Ingawa kulikuwa na michezo 10 pekee ya kucheza wakati huo lakini wazo hili jipya lilikuwa la kimapinduzi.
Kutokana na uvumbuzi wa haraka wa siku hizi kuna maelfu ya kasino za mtandaoni. Na zimeenea kote wavutini. Lakini si zote zinazolenga nchi za Afrika (au kupatikana kwa lugha ya Kiswahili). Waendeshaji michezo, watoa huduma za malipo, mawakala wa usaidizi, hizi ni taaluma zinazohitajika ikiwa Waafrika wa asili na wazungumzaji wa Kiswahili watanawiri. Si kazi rahisi… na kwa hivyo tumetengeneza kasinozakiswahili.com, mwongozo wako katika ulimwengu wa kasino ya mtandaoni.
Kuhusu Michezo ya Kasino ya Mtandaoni

Aina mbalimbali za michezo ya kasino ni za kushangaza. Hivi sasa nyingi zake zimeundwa kwa kutumia lugha ya programu ya HTML5 ili kuendana na kompyuta za mezani. Ingawa kompyuta kibao na simu za mkononi zinatumika zaidi sokoni na wachezaji wanazitumia zaidi kucheza michezo yao.
90% ya michezo yote ya kasino inaweza kufikiwa ukitumia akaunti yako halisi ya kasino kwa hivyo huhitaji kufungua akaunti nyingi. Unaweza kuzifikia ukitumia vifaa au michezo tofauti. Mifumo yote ya uendeshaji ya Android na IOS inafaa kwa kucheza michezo.

Hata hivyo baadhi ya kasino bado hutumia programu zinazoweza kupakuliwa. Lakini usiwe na wasiwasi, michezo hii haina virusi vyovyote vya kompyuta kwa 100% na husakinishwa kwa usalama ndani ya dakika chache. (Kulingana na kasi ya mtandao wako wa intaneti)

Ingawa michezo yote hucheza vizuri hata ukitumia watoa huduma tofauti, inashauriwa uwe na muunganisho wa kasi ya juu wa intaneti. Hasa kwa michezo ya moja kwa moja ya kasino kama vile Roulette na Blackjack ya moja kwa moja. Kwa hivyo kwa ujumla vitobo na michezo ya programu hufanya vizuri kwenye vifurushi vya intaneti vinavyopatikana kwa kawaida barani Afrika

Kuhusu Kuhisi kuwa na Bahati

Kuhisi kuwa na Bahati ni mtindo wa maisha. Sisi sote hukumbana na siku mbaya. Ingawa wengine kwa muda mfupi na wengine kwa muda unaonekana kuwa usio na kikomo. Jipe moyo! Siku moja utakuwa na bahati nzuri pia. Kama Wagiriki wanavyosema, Bi. Bahati atakuwa pamoja nawe kwa muda mrefu. Utakuwa na bahati kwa maisha yako yote. Kwa hivyo tabasamu, jikaze na unyakue fursa hii ya kubadilisha maisha yako. Kwa hivyo kama unahitaji kasino za Kiswahili, basi una bahati, umeangukia bahati! Leo ndio siku yako,.. PATA BAHATI!

 

 

  • Wastani wa kurudi kwa mchezaji 96.60% 96.60%
  • Wastani wa kurudi kwa mchezaji 98.43% 98.43%
  • Wastani wa kurudi kwa mchezaji 95.92% 95.92%
  • Wastani wa kurudi kwa mchezaji 95.92% 95.92%

MAKALA YETU YA HIVI KARIBUNI

Matukio ya Kamari Mtandaoni Kenya

Utangulizi Kamari mtandaoni imekua kwa kasi sana katika Kenya katika miaka ya hivi karibuni. Matumizi ya teknolojia katika sekta ya kamari yamesaidia kuongeza upatikanaji wa fursa za kamari, na kuifanya kuwa shughuli ya kawaida kwa Wakenya wengi. Lakini kama kila kitu kingine, kamari mtandaoni ina faida na hasara zake. Faida za Kamari Mtandaoni Urithi Kwanza, kamari mtandaoni hutoa urahisi....

Kasino nchini Kenya kwenye Majumbo ya Likizo ya Hoteli

Majumba ya Likizo ya Kasino nchini Kenya - Kando na njia za kusisimua katika nyika ya Kenya, nchi hii inatoa majumba mazuri ya likizo ya kasino na mbio za magari pia. Kutembelea Kenya kutaendelea kukushangaza kila siku. Nchi hii ina mengi ya kutoa kiasi kwamba hutasikia kutosheka kutumia wiki mbili au tatu kuzuru Kenya kikamilifu. Kwa vile sisi ni tovuti maalum ya michezo ya kubahatisha kwa...

Kenya imepata milionea mwingine

Kenya imepata milionea mwingine - mmiliki wa klabu ya eneo kutoka Laikipia aliyepata zawadi ya milioni 2. Lakini tofauti na watu wengi, mshindi huyu wa bahati nasibu Kenya hakupata zawadi kubwa kwa kutumia pesa kwenye bahati nasibu. Hapana, alikuwa milionea kwa kutumia vipaji vyake katika kamari ya michezo. Kujua maelezo zaidi kuhusu ushindi wake uliopatikana kwa juhudi, angalia hadithi kamili...

Ushindi Mkubwa wa Jakpoti wa €390,896 Kwenye Mchezo wa Live Casino

Jakpoti Kubwa kufikiwa kwenye mchezo wa Dream Catcher Kushinda jakpoti kubwa mara nyingi hutokea kwa wachezaji wanaojaribu bahati yao katika michezo ya vitobo ya jakpoti. Lakini mchezaji mmoja aliyebahatika kutoka Norwe amethibitisha kuwa sio ushindi wote wa kipekee unaohusiana na vitobo. Kwa kweli, ushindi wake wa €390K ulipatikana kwenye kasino ya kituo halisi na sio kasi ya matandaoni. Ili...

MICHEZO MIPYA

new online casino game
new online casino game

MICHEZO YA KASINO ZA KISWAHILI

Je, unajua kwamba kuna michezo mingi sana ya kasino ambayo kama ilivyo na kasino za Kiswahili ilianzia Afrika? Hebu tusisahau kuwa bara letu ni miongoni mwa bara tajiri zaidi duniani.

Kwa mfano: Maliasili, wanyamapori, utamaduni na historia! Afrika ni kiini cha mambo mengi. Haishangazi kuona watoa huduma wengi wa programu wanaunda michezo inayorejelea jadi na sasa. Tunapaswa kujivunia hilo!

Michezo maarufu ya vitobo yenye mandhari za Kiafrika:

  • Mega Moolah
  • Super Safari
  • Pure Platinum
  • Big Kahuna

Kama unaweza kuona kuna michezo mingi maarufu ya kucheza inayokufanya ujisikie nyumbani. Lakini pia unaweza kugundua mabara mengine pia! Kuna zaidi ya michezo 3000 ya vitobo vya kasino yenye mada katika soko, kwa hivyo anza kuiigundua leo.

Maelezo zaidi katika sehemu zetu za michezo na kasino za mtandaoni

online casino game rules Kucheza michezo ya kasino mtandaoni inafurahisha, hasa unapoweza kucheza katika lugha yako ya Kiswahili! Kwa bahati mbaya baadhi ya michezo inaweza kuwa gumu kucheza ikiwa hujui kanuni za mchezo. Lakini usife moyo kwani kuna usaidizi wa mtandaoni, kanuni za mchezo zipo ili kusaidia.

Kwa hivyo karibu kila mchezo wa kasino wa mtandaoni unaotolewa na kasino zilizoidhinishwa una kitufe kidogo cha usaidizi katika moja ya pembe za mchezo. Kawaida hii ni ishara iliyowekwa na alama ya swali au aikoni ya kijitabu kidogo. Ukibofya juu yake madirisha mapya hufunguka na kuonyesha maelezo yote kuhusu mchezo. Hatua kwa hatua unaweza kujifunza kanuni zote za michezo mahususi ambao haujacheza hapo awali.

iKidokezo cha ziada: ukicheza mchezo unaoupenda katika hali ya mazoezi huwa haulipishwi kabisa lakini sehemu ya usaidizi iliyo na sheria bado inapatikana. Kwa njia hii unaweza kujifunza kanuni zote za msingi bila kupoteza pesa zozote.

online casino software

photo: onlinecasinomalaysia.net

Watu wengi hawajui kuwa kasino kwenye intaneti hazimiliki michezo zinazotoa. Zinatia saini mkataba na watoa programu maalum ambao ni waundaji pekee wa mchezo. Waundaji hawa wanakodisha mchezo yao kwa wateja kote ulimwenguni. Kwa hivyo kama tovuti ya kasino unaweza kuchagua michezo yote au baadhi yake.

Sehemu ya kufurahisha ya uundaji huu wa programu za mchezo ni ukweli kwamba wasanidi wa mchezo pia wanawajibikia lugha tofauti ambazo vifurushi vya mchezo hutoa. Na hii husababisha watoa huduma za programu za mchezo kuboreka katika uchambuzi (kuchambua matokeo ya injini ya mchezo) na usanifu na pia kukusanya timu kubwa ya watafsiri ili kutafsiri skrini zote za mchezo na maudhui katika lugha nyingi. Tunatarajiwa kuwa idadi ya kasino za Kiswahili itaongezeka hivi karibuni.

 

Kidokezo cha Ziada: unapocheza kwenye programu ya michezo jaribu kutafuta hitilafu au vito vilivyofichwa kama vile “Mayai ya Pasaka” baadhi ya kasino za mtandaoni hutoa zawadi nzuri kwa vidokezo hivyo.

paying tax online casino winnings

Kushinda pesa hufurahisha siku zote… hadi wakati mkusanya kodi atakapowasiliana nawe kuhusu ulipaji. Kila nchi ina utaratibu wake wa kodi na kwa hivyo hatuwezi kueleza kwa kina maelezo yote kuhusu kodi ya michezo. Kwa hivyo, sheria kuu hapa ni kwamba wewe au kasino ya mtandaoni lazima mlipe kodi kwa ushindi. Nchi zingine hazitozi kodi kwa ushindi wa kasino za mtandaoni lakini ni bora kujua sheria kulika kujipata umezikiuka.

Kumbuka kwamba kwa kawaida serikali au mamlaka ya michezo ya kubahatisha hutoa taarifa kuhusu kodi kwenye tovuti zao. Ikiwa una shaka yoyote hakikisha utafuta kwenye Google “gaming tax in (weka nchi yako )” na bila shaka tovuti ya mamlaka ya kodi ya eneo lako itatokea katika matokeo ya kwanza.

Kidokezo cha ziada: Sio sisi tumesema lakini je, unajua kwamba kasino za mtandaoni huwa hazifahamishi mamlaka ya kodi kuhusu wateja wao, kwa hivyo ikiwa hazifanyi hivyo, mbona wewe?
african online gaming authorities

photo: gamingsites

Bila kukupotosha, mamlaka hizi huwa hazina ubaya na wewe! Mamlaka za michezo ya kubahatisha ndizo taasisi zinazolinda mazingira wazi na inayotegemewa ya kasino za mtandaoni na michezo ya kubahatisha. Wanatoa leseni (na kuzibatilisha inapohitajika) na kusaidia kuondoa tovuti zisizo halali za kasino kutoka wavutini. Unapocheza mtandaoni hakikisha kuwa umechagua kasino ambayo ina leseni halali kutoka kwa mamlaka inayotambulika ya michezo ya kubahatisha.

Huko Afrcia kuna mamlaka nyingi bora zenye nia nzuri lakini ukweli pia ni kwamba baadhi ya “mamlaka” zingine bado hazizingatii “uaminifu, utegemevu na utumainifu”.

 

Kidokezo cha ziada: Je, unajua kwamba kasino zote kwenye SwahiliCasinos.com ni watoa huduma halali wa michezo na zote zimedhibitiwa katika nchi halisi.

Jinsi ya kucheza katika kasino za mtandaoni – Maelezo kuhusu mbinu zote za kuweka amana

Mifano michache ya mbinu za malipo za kimataifa za kasino za mtandaoni

online casino payment methods

Unapocheza mtandaoni, tuseme katika Kasino za Kiswahili, hakuna msisimko wa kucheza michezo katika hali ya kujifurahisha. Kushinda jakpoti kunaweza kusababisha kufadhaika na tamaa kubwa. Kwanini ni hivyo?!

Unaweza tu kushinda pesa halisi ikiwa umewekeza pesa halisi kwenye akaunti yako ya wachezaji wa kasino. Ushindi wote katika hali ya kujifurahisha ni ushindi ghushi ambao huwezi kutoa pesa zake. Kwa hivyo unahitaji kuweka pesa zako kwenye kasino ya mtandaoni. Kwa njia hiyo unaweza kucheza michezo ya pesa halisi na kuwa na nafasi ya kushinda pesa taslimu.

Kwa kawaida huwa unalipa pesa unaponunua bidhaa au mikopo lakini uhamishaji wa pesa hufanya kazi vipi mtandaoni? Hapo chini tutafichua njia za malipo za mtandaoni zinazokubalika zaidi na zinazokubalika kwa kasino ulimwenguni kote.

 

  • Kadi za Mkopo – njia inayotumika zaidi kulipa mtandaoni na kuongeza fedha kwenye akaunti yako ya kasino ya mtandaoni
  • Pochi za mtandaoni au Ewallets – Mojawapo wa njia ambayo imekua kwa kasi zaidi katika mwongo mmoja uliopita kwa ununuzi kwenye intaneti
  • Kadi zilizolipiwa mapema – zinapatikana duniani kote, zinatumiwa mara kwa mara kama njia ya malipo isiyomtambulisha mtumiaji
  • Uhamisho wa pesa – Western Union ndio mtandao mkubwa zaidi ulimwenguni unaoshughulikia mashirika 500,000 (20,000 barani Afrika)
Kidokezo cha ziada: Miamala ya pesa kwenye kasino za mtandaoni iko salama kwa 100%. Usimbaji wa njia fiche na vyeti vya SSL vinakuhakikishia usalama wako mtandaoni. Kwa hivyo hakuna haja ya kuwa na hofu kuhamisha pesa mtandaoni.

M-Pesa kutoka Safaricom ndiyo jukwaa kuu la malipo ya simu ya mkononi. Pamoja na Jambopay , Pesapal na Pokopoko zinatumiwa kila siku na mamilioni ya Wakenya. Kwa hivyo zaidi ya 98.5% ya miamala na simu ni kupitia M- Pesa. Kwa sababu ya kiasi cha juu zaidi cha ununuzi wa sasa, ni KSh 70,000, wachezaji wa pesa nyingi hawawezi kuweka dau kubwa. Watoa huduma wengi wa malipo hawana uwezo wa kubadilisha kiasi hiki kwa sababu kimewekwa na Benki Kuu ya Kenya. Haya ni matokeo ya kanuni new AML regulations.

Inatekelezwa ili kupunguza wizi wa pesa kupitia malipo ya simu.

Miamala ya pesa kwa simu* ni ya kawaida nchini Kenya na kasino nyingi zinaikubali polepole. Hakuna kadi nyingi za mkopo nchini lakini idadi inakua kwa kasi zaidi. Kadi ya mkopo ni mojawapo ya mbinu za malipo zinazokubalika zaidi katika kasino za mtandaoni. Ukiweza kupata moja utafaidika nayo sana.

*Dokezo dogo tu, kasino za mtandaoni hazitoi mkopo mapema.

CRDB, mojawapo ya benki zinazoongoza nchini Tanzania imezindua ‘Win Big with TemboCard’. Ofa hii imeanzishwa ili kuhimiza malipo ya mtandaoni na kielektroniki kupitia TemboCard. Njia mpya ya kulipia kwa jumuiya ya Watanzania. Kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi za Kiafrika, asilimia 95 bado wanalipa kwa pesa taslimu.

Ikiwa na zaidi ya maeneo 1,500 ya kulipia (PoS) na Mawakala 2,000 wa FahariHuduma kote Tanzania, CRDB inatoa huduma mpya. Vifaa vya PoS vinawezesha kulipia na kuhamisha pesa. Tunatumai kuwa TemboCard itakubaliwa hivi karibuni kwenye kasino za mtandaoni pia.

Kando na TemboCard, hivi karibuni benki ilizindua huduma maalum kwa wateja iitwayo Premier Club. “watakaojiandikisha katika kituo hicho watapokea kadi maalum ziitwazo Tembo Card Visa Infinite...” kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dkt. Charles Kimei

Chagua kadi yako mwenyewe ili kufanya malipo salama mtandaoni hapa:: CRDB cards

MTN Uganda ndio mtoa huduma mkubwa zaidi wa malipo nchini Uganda lakini pia kuna matumaini makubwa. Huku miamala ya pesa taslimu ikiendelea kukosa usalama kuna chaguo mpya za “plastiki” zinazopatikana kwa watumiaji. Nchini Uganda ni kampuni tano tu mpya ambazo zinawekeza kwa kiasi kikubwa katika mifumo ya malipo ya mtandaoni.

  1. Yo Uganda
    Mtoa huduma wa zamani wa huduma za simu za mkononi sasa anaangazia malipo ya mtandaoni na ya simu.
  2. Beyonic
    Ingawa ililenga zaidi miamala ya biashara kwa biashara (B2B) hapo mwanzo, Beyonic sasa inapatikana kwa wingi nchini Uganda kwa watumiaji pia.
  3. Useremit
    Huduma thabiti ya uhamishaji wa pesa mtandaoni. Sasa inapatikana pia kwa uhamishaji kati ya Uganda, Rwanda na Kenya.
  4. Payway
    Huduma hii ilipelekea malipo ya bili za matumizi kuwa salama, haraka na rahisi sana katika Uganda. Ndio sababu haikuchukua muda kabla ya kuanza kutoa chaguo zaidi za malipo..
  5. Jpesa
    Huduma hii hukubali uhamishaji wa pesa kati ya nchi nyingi za Afrika Mashariki. Jpesa ni njia salama ya malipo ya simu na kielektroniki na inafanya kazi sawa na Jambopay ambayo ni maarufu ya Kenya.

Nchini Rwanda, malipo ya mtandaoni (na malipo ya simu) yanaweza kuchakatwa kupitia Watoa Huduma mbalimbali za Malipo. DirectPay inafanya kazi na Tigo, Pesa, Airtel na MTN. Wanachakata Kadi zote kuu za Mkopo na pochi za kieletroniki.

Mnamo tarehe 28 Septemba 2016, Mastercard, Benki ya Kigali na RwandaOnline kwa pamoja zimezindua suluhisho jipya la malipo ya mtandaoni nchini Rwanda. Mastercard Payment Gateway Services ndiye aliyebuni mbinu hii mpya. Mbinu yenyewe itaweza kutoa malipo ya haraka katika nchi nzima ya Rwanda. Malipo ya mtandaoni yamekuwa salama zaidi na rahisi kutumia kwa kila mtu.

Nchini Burundi kuchukua pesa kupitia WorldRemit ni jambo la kawaida hata hivyo hii haitumiki kwa malipo ya kasino. Kasino za mtandaoni hazikubali uhamishaji wa pesa taslimu. EcoCash ni njia mbadala nzuri ya kununua mikopo kupitia simu yako ya mkononi.

Payza na Kadi za mkopo zinapatikana pia lakini kwa hakika kadi za mkopo hazitumiwi sana nchini Burundi. Visa na Mastercard zinakubaliwa.

Kwa ufunguzi mkubwa wa kwanza wa biashara ya mtandaoni nchini Msumbiji (Compra), sasa kulipia mtandaoni imekuwa rahisi nchini Msumbiji. Kwa hivyo watoa huduma za malipo (PSP) kama Credelec , MPESA na MKesh wanazidi kupata umaarufu. Lakini Watoa Huduma za Simu wanatumika kama wapatanishi wa malipo wa mtandaoni huku LAM ikiwa ndio kampuni kuu.

deposits from mozambiqueBIM IZI na Kadi za Mkopo zinaweza kutumika mtandaoni pia unapotaka kununua mikopo au bidhaa kupitia intaneti. Suluhisho hili la malipo linatumika sana nchini na kwa hivyo watoa huduma zaidi na zaidi wa kasino za mtandaoni wanakubali uhamishaji unaofanywa na IZI.

Pesa mtandaoni huchakatwa kupitia CongoPay na wachakataji wengine wachache wa kadi za mkopo. Unaweza kutumia simu yako ya mkononi kuhamisha pesa au kununua kadi za kulipia mapema kwa kutumia msimbo maalum. Ingawa Kadi za Mkopo zinakubaliwa mtandaoni bado hazitumiki sana nchini Kongo (DRC).

Maoni yako

Hapa katika Kasino za Kiswahili huwa tunafurahi kusikia maoni kutoka kwa wasomaji wetu. Kwa hivyo usisite na jisikie huru kutupa maoni kupitia fomu yetu ya mawasiliano.

Huenda ikawa ni kidokezo, baadhi ya mapendekezo, maelezo ya ziada au hata malalamiko, hatupuuzi maoni yako.

Tusaidie kukuza familia ya kasino za Kiswahili na kutujulisha maelezo yote unayoweza kutupa ili kutumakinisha na kuboresha tovuti hii.

 

Wasiliana na ushiriki uzoefu wako wa kucheza na jumuiya ya Wazungumzaji wa Kiswahili

11 + 2 =

Rasilimali za ziada za kasino

Worldcasinodirectory.com
Worldcasinodirectory.com – Hapa unaandika mahali na wanakupa kasino. Utashangazwa na idadi ya  kasino ambazo zimeorodhesha kwenye tovuti yao. Lakini kuna zaidi. Hawatoi tu zile za mtandaoni lakini pia kasino nyingi zaidi za maeneo halisi.

Ikiwa unafuta mahali pa kucheza kamari nchini Msumbiji, watakusaidia! Je, unazuru Kenya na unatafuta kuburudika kwenye meza za michezo? Hili ni suluhisho bora kutokana na ukubwa wake. Maeneo yote bora zaidi yanaonekana ndani ya mibofyo mitatu. Bila hata kutaja hata kasino za Kiswahili…

tembelea tovuti >> worldcasinodirectory.com

Casinocity.com
Casinocity.com – ni mojawapo ya tovuti kongwe za michezo ya kubahatisha kwenye wavuti. Wanadai kuwa tovuti ambayo naorodhesha kihalisi kasino zote zinazopatikana mtandaoni ulimwenguni kote. Ni ni kweli hatuwezi kutilia shaka hilo! Wakiwa na sehemu nyingi tofauti, ambazo zinaweza kuchaguliwa kulingana na mapendekezo yako mwenyewe, ni rasilimali muhimu. Kwa hivyo , tunapendekeza kwamba uwatembelee.

tembelea tovuti >>> www.casinocity.com

Dmoz.org
Dmoz.org – ni mojawapo ya saraka kongwe na zinazoheshimika zaidi duniani. Orodha zake zimehaririwa na watu halisi na wafanyakazi wataalamu wa kujitolea. Pia wana jumuiya yenye nguvu katika nyanja ya michezo ya kubahatisha. Ingawa tovuti haisasishwi mara kwa mara, bado sehemu ya michezo ya kubahatisha ina habari nyingi muhimu. Na wanashiriki nawe kwa hiari kama mchezaji wa  kasino za mtandaoni. Hasa muhimu ni sehemu ya kamari ya mtandaoni.

tembelea tovuti >>> www.dmoz.org

Nyenzo za ziada za Kiswahili

BBC.com (in Swahili)
BBC.com – Idhaa huru ya habari kwa lugha ya Kiswahili. Soma habari zote za ndani katika nchi yako zinazotolewa na wanahabari stadi. Inalenga zaidi nchi za Afrika Mashariki. Haishangazi kuwa hili ni eneo ambalo Kiswahili ni lugha rasmi au bado kinazungumzwa na watu wengi. Kwa hivyo pata habari kwa lugha yako kupitia nyenzo hii nzuri.

tembelea tovuti >> bbc.com

Ethnologue.com
Ethnologue.com – inatoa maelezo ya kina kuhusu Kiswahili na asili yake. Inajumuisha viungo vingi muhimu vya kupata habari yoyote inayopatikana kwenye wavuti. Jifunze kuhusu Kiswahili na watu wanaokizungumza. Tembelea tovuti >>> www.ethnologue.com
Wikitravel.org

Wikitravel.org – unapanga safari ya kutembelea mojawapo ya nchi nyingi ambako watu huzungumza Kiswahili? Basi unapaswa kutembelea ukurasa maalum wa Kiswahili wa Wikitravel. Utajifunza maneno na vifungu vya maneno ambavyo unaweza kutumia kwenye safari yako. Usisahau kualamisha ukurasa kwenye simu yako kwa ufikiaji rahisi wakati wa usafiri. tembelea tovuti >>> www.wikitravel.org

Rasilimali za michezo rahisi

King.com
King.com – Ingawa sio bure kabisa bado tunapendekeza tovuti hii. Hapa unaweza kucheza michezo mingi ya ubora mzuri ya kufurahisha na michezo ya ujuzi katika muda halisi dhidi ya wachezaji wengine kutoka duniani kote! Kwa kiasi kidogo cha pesa unaweza kununua salio la mchezaji ambalo hukupa ufikiaji wa michezo ya kuvutia sana. Umewahi kucheza biliadi au datsi za mtandaoni? Pengine hujawahi, kwa hivyo endelea na uonyeshe ujuzi wako hapa

sajili akaunti ya bila malipo >>> HERE

Addictinggames.com
Addictinggames.com – Michezo ya kasino inaweza kuwa ghali na wakati mwingine hutaki kucheza kamari… lakini unataka tu kucheza mchezo mtandaoni. Basi tovuti hii itakufaa zaidi. Inajumuisha zaidi ya michezo 3000 ya bila malipo (inayoambatana na simu pia). Michezo ya ustadi, michezo-laini, michezo ya mafumbo, mkakati au furaha, yote wanayo. Na bora zaidi ni kuwa hakuna malipo yanayohitajika, cheza bila malipo!

tembelea tovuti >> addictinggames.com

Pogo.com
Pogo.com – kama ilivyo na addictinggames, Pogo pia ni tovuti ya bure. Lakini kuna tofauti, tovuti hii hutoa michezo mizuri ya ubao na michezo ya ustadi mtandaoni. Michezo ya ustadi ni maarufu sana siku hizi kwani kusuluhisha mafumbo inapendelewa sana mtandaoni. Cluedo ilikuwa mojawapo ya michezo ya ubao ya kwanza kabisa ambapo uhalifu ulihitaji kutatuliwa na wachezaji. Kwa kweli nafasi zilizopo mtandoni hazina kikomo, je, wewe ni mchunguzi halisi? tembelea tovuti >>> www.pogo.com

Kasino maalum za mtandaoni kwa Kiswahili

Swahilicasinos.com ni toleo la Kiingereza la Kasinozakiswahili.com ambayo imeandikwa kwa Kiswahili kabisa. Kwa hivyo tunajivunia kuwa tovuti pekee inayojitolea kwa Waswahili na lugha yao wenyewe. Kwa hivyo tutajitahidi kuanzisha jumuiya nzuri na inapowezekana kushawishi kasino za mtandaoni kutafsiri tovuti na michezo yao katika Kiswahili.

Iwe unatembelea tovuti yetu kutoka Tanzania, Rwanda, Kenya au nchi nyingine yoyote ambayo watu wanazungumza Kiswahili kumbuka sisi sote tumeunganishwa na intaneti. Ndani ya mibofyo michache tunaweza kuzuru ulimwenguni wote. Na hivyo kuwa sehemu ya jumuiya ya kimataifa inayopenda kucheza michezo ya kasino.

Michezo haizuiliwi na mipaka ya nchi na inapatikana kila mahali ambapo intaneti ipo. Kwa hivyo tunaweza kufurahia faida za enzi hii. Lakini muhimu zaidi, bahati nzuri iwe nawe kwenye Kasino za Kiswahili!